Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

KLINIKI YA MAGONJWA YA NDANI

Posted on: April 23rd, 2024

KLINIKI YA MAGONJWA YA NDANI


MUDA KUANZIA 02:00 ASUBUHI HADI 09:30 ALASIRI (GENERAL CLINICS)

                               07:00 MCHANA HADI 10:00 JIONI (FAST TRACK)

S/N
HUDUMA ZITOLEWAZO
1 UPIMAJI KISUKARI
2 UPIMAJI PRESHA
3 SHINIKIZO LA DAMU
4 MAGONJWA YA MOYO
5 USHAURI NA MAGONJWA MENGINEYO

SIKU ZA KLINIKI : Jumatatu & Ijumaa kwa wagonjwa Maalum (Fast Track)

                              Jumanne, Alhamisi & Ijumaa kliniki za kawaida (General clinics)