Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

KLINIKI YA MACHO

Posted on: April 23rd, 2024

KLINIKI YA MACHO


MUDA KUANZIA 02:00 ASUBUHI HADI 09:30 ALASIRI
S/N
HUDUMA ZITOLEWAZO
1
ELIMU YA AFYA YA MACHO
2
UPIMAJI WA MACHO NA MATIBABU KWA NJIA YA MIWANI
3
UPASUAJI WA MACHO KULINGANA NA TATIZO HUSIKA
4
USHAURI

SIKU ZA KLINIKI : Jumatatu, Jumanne, Alhamisi na Ijumaa