Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

UTARATIBU WA WAGONJWA/WATEJA KUWASILISHA MAONI,MALALAMIKO AU MAPENDEKEZO KUHUSU HUDUMA ZINAZOTOLEWA

ENDAPO UNA MAONI, KERO, USHAURI, MABORESHO AU MAPENDEKEZO KUHUSU HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWENYE HOSPITALI YETU, UNAWEZA KUWASILISHA KWA NJIA ZIFUATAZO;

1.   MASANDUKU YA MAONI YALIYOPO MAENEO MBALIMBALI YA HOSPITALI

2.   OFISI YA HUDUMA KWA WATEJA ILIYOPO JIRANI NA KITENGO CHA DHARULA NA MAPOKEZI

3.    KUNDI LA ‘WHATSAPP’LA HUDUMA KWA WATEJA LA HOSPITALI

(CUSTOMER CARE MUSOMA RRH KWA NAMBA 0735473629)

4.    NAMBA ZA VIONGOZI WA HOSPITALI KAMA IFUATAVYO;

MGANGA MFAWIDHI        ………………..  0767-112627

MSIMAMIZI WA UBORA   ………………….  0752-151256

AFISA UTUMISHI           ………………………. 0753-150403

KATIBU WA AFYA          ………………………  0764-076790

MUUGUZI MFAWIDHI ………………………. 0717-924376

5.    NAMBA ZA WAKUU WA IDARA ZILIZOPO KILA SEHEMU YA KUTOLEA HUDUMA YA IDARA HUSIKA

N.B: IKIWA CHANGAMOTO YAKO HAIJAFANYIWA KAZI KWA NJIA TAJWA HAPO JUU, TAFADHALI FIKA OFISI ZA UTAWALA KWA MSAADA ZAIDI.

- 14 January 2021