Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Mara

KUTAFUTWA KWA NDUGU WA PAULO STEVEN MASANJA

            

Bwana Paulo Stevene Masanja (68) mzaliwa wa Kahama na Mkazi wa Nyamongo- Tarime ana maradhi ya kiafya na amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara kwa muda mrefu pasipo kuwa na ndugu ama jamaa yeyote.

Hivyo anawaomba watanzania wamsaidie kupatikana kwa watoto,ndugu na jamaa zake wanaoishi kisiwa cha Buchosa-Ukerewe Mkoa wa Mwanza.Pia anaomba wasamaria wema popote pale  kumsaidia huduma za matibabu.

Tafadhali kwa yeyote anayemfahamu au kuhitaji kumsaidia kwa namna yeyote ile afike,ama awasiliane na Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara kwa simu namba 0683473629.


- 17 June 2020